Na Jane Edward, Arusha
MKUUwaMkoaw aArusha Mag e s aM
ulongoamelish uk uru Shirik alaMuun ganowaMa pinduziyaKijani
Afrika(AGRA)kwakukubali ku fadhilimradiwaJu kwaala Afya yaUdong o Tanz ani
a(TASC HCO.Akitoa shu
krani hizow akatiwa uzinduziwamradi huo ,amese makuwa AGR Anish irikali nalo
fadhili nchin aneye ny emrad iwanamnahiyonaTanzaniaiki wa nimo jayanchi zili
zofadhiliw anamr adihu o.
Aid haMulo ngo
alisemakuwa zipoba adhiyachanga motozinazochangia teknolojia ya afya yaudong
okuto waf ikia wad auipa savyoi kiwanipamojana matokeomengiyautafiti w a(ISF M)
kufanyw a kati ka kandam ojanahivyo kus ababishaka nda
nyinginekutowezakuyafaham unak uyatunza kwaurahisi.Al iongezakuwa
hakuna sehemu, taasisi auchom bo cha k uku sanyia mapendek ezoyau tafitiwaISFMnaku
we zakuy awekaka tikahali nzu riaumfu morafiki k wamak undimbalimbali kw
awatumiaj i.
Hata hivyoM
ulongoalisema kuwalengoma hsusi lak ua nzish wa kwa m radi wajukwaa
laafyayaudongonikumu wezesh amkuli ma kuweza ku patamazaom azurinakupatas okon
danin anjeya nchi.
Naye Dkt .Suza nI ker rakutoka Wizaray
aArdhi,Chaku lanaUshirik aa lisema kuwak wa kipindihik iwakulimaw amekuwa
wakitum iaa rdhi vibay atofauti nailivyoku wa hapoawali k utokanana
ukosefuwaelimu kwaniwamekuw awakitunz ambole avi bayana kuitumiak inyumec
hatarat ibuzinazo takiwa.
Piaalisemakutokuwa na elimu yakutosha
juuyamasual ayaardhi ina pelekeakuw ep o kwau pun gufuwama zaoyabia
sharanachakulanahiv yokupe lek eajamii kuk umbwa na njaapamojanaumaskini
uliokithiri ndan i ya jam ii.Ameongeza kuwa wakulima wanapaswa kuwa
wabunifu na kuacha kutumia mbolea za asili tu kwani hazina virutubisho kwenye
ardhi na badala yake wanapaswa wachanganye mbolea ya asili pamoja na mbolea ya
kisasa na kuacha kunyambua mbolea hizo.
Amemaliza kwa kusema kuwa wao kama TFRA
wamejipanga kutoa mafunzo kwa maofisa ugani na wauzaji pamoja na wakulima ikiwa
ni pamoja na kufanya ukaguzi wa ghafla ili kuweza kuwabaini wale wanaoenda
kinyume na taratibu za masuala ya kilimo pamoja na mambo mengin
No comments:
Post a Comment