03 July 2013

TATIZO LA MAJI MWANZA LAPATIWA UFUMBUZI


 Na Daud Magesa, Mwanza
TATIZO la uhabawa maji lililokuw alikiikab iliChuoKi kuuch aMtak atifuAugust ine(S AUT)jijini Mwan za limepati wa ufu mbuzi baadayaKampuniyaBia(TBL)kuwa k abidhi matenki mawili ya maji.
Matenki hayoyenyetha mani ya sh.mil. 50yalik abidhi wajananamene jamau zo na us ambaza jiwaTBLKa ndayaZ iwa,MalakiSi taki kwaMakam uMk uuwa chuo hichoaliye malizamu dawa keD kt.Charles Kitima.

Sitaki alisema matenki hayo kilam ojali naujaz o w alitalaki moj ahivy oku wanauw ezo wakut oshelezamahitajiya us ambazaji wamaji kati ka kampa siyaMalimbetofautin ah apoawaliam bapo walikuw an atatizo la maj i.
Alise maTB Limeku waha iangalii faidape key akeba lifaidawanay oipatai mekuwa ikitumikakatikakusaidi amahitajim balimbali kwenye jamii ikiwemo ya miradi hiyo ya maji.
Katika hatua nyingine kampuni hiyo ya TBL imekabidhi hundi ya zaidi ya sh. mil. 49.5 kwa halmashauri ya wilaya ya Misungwi kwa ajili ya kufufua mradi wa visima vya maji kwenye vijiji 11.
Hundi hiyo imekabidhiwa jana na Mkurugenzi wa Uhusiano na Sheria wa TBL, Stephen Kilindo kwa mkandarasi, Simon Mazuka wa kampuni ya Nyagama Investment ambapo ukarabati huo unaanza mara moja.
Kilindo alisema kazi ya ukarabati wa visima 20 ambavyo awali vilikuwa vikifanya kazi lakini vikaharibika kutokana na ubadhirifu na wizi wa pampu vinatarajiwa kukamilika baada ya siku 60.
Alisema, TBL imekuwa ikiunga mkono jitihada za serikali za kukuza uchumi wa nchi na kwamba inatambua umuhimu huo katika jamii.

No comments:

Post a Comment