Mwenyekiti wa Kikundi
cha Tupendane Bi.Rosena Rashid, Mkazi wa Tarafa ya Matombo Morogoro (kushoto),
vijijini akipokea mkopo wa fedha kutoka kwa wakala wa M-Pesa wa Vodacom
Morogoro, Bw.Verus Bitahilo (aliyeketi) Kampuni hiyo inatoa mikopo kwa wanawake
wadogowadogo wajasiriamali hapa nchini isiyokuwa na riba yenye thamani ya zaidi
ya shilingi milioni 327 kupitia mradi wake wa 'MWEI'. Anayeshuhudia wa pili
toka kulia walioketi ni Meneja wa mradi huo Bi. Grace Lyon.
No comments:
Post a Comment