29 July 2013

ELIMU KWA WAAJIRI

Meneja wa Kanda ya Temeke, Bi Erica Sendegeya akizungumza na baadhi ya waajiri wa Kanda ya Temeke katika semina iliyofanyika hivi karibuni,lengo la semina hiyo ni kuwaelimishawaajiri kuhusu mafao mbalimbali yatolewayo na mfuko huu na umuhimu wa kuwasilisha michango ya wananchama kwa wakati.

No comments:

Post a Comment