02 July 2013

MATENGENEZO

 Mkazi wa Oysterbay akifanya matengenezo katika eneo la Barabara ya Mwai Kibaki nje ya nyumba yake, kama alivyokutwa Dar es Salaam jana. Baadhi ya wakazi hufanya matengenezo bila kusubiri manispaa kufanya hivyo.

No comments:

Post a Comment