CHAMA Kikuucha UshirikamkoaniK iliman
jaro(KNCU), kiliuza ku pitiakite ngochak ec ha uuzajiwakaha wa,asil imia20
yakahawa yotesa fi il iyokusanywakatikamsim uwa2012/2013, anaripoti Heckton
Chuwa, Moshi.
Hayo yameelezwa
na meneja mkuuwaKNCUH ones tTemba, wakat i wa mkutano mkuuw a 31 wachama hicho
uliofanyika mwishoni mwawi ki.Kwa mujibuwa Bw. Temb a,KN CUilikusan
yakilo1,444,250 msim uwa2012 /201 3.
"Asilimia
84ya kah awayotesafi iliuzwanje kweny e sokolahakinakuingiz ia Dola zaMareka ni
76,02 7, katikamsimuhu o," alisem ana kuonge za mapa toyamauzoha
yoyalitumika kusom es heawatotowa wakulimaa mbaoniwan achama wach amahich okiku
u.
Alis emak
uwamapato hayo pia yalitu mik aka tik akutoahud umazajamiinazi lezau gani k
wavyam a wa nacha mailiku ongeza uzalishaji nauborawa za ohilo.
"Sokola kuu zakahawanje yanchi
limekuw anach angamo tony ingikutokan a nanchi zaMare kaniyaKusinikuza lishaka
hawanyin gi ambapom simuhuu zim ezalisha maguni amilio ni50ambayoyaliingiaso
koniikilin ganishw a na magun iatakr ibanimilioni2tuliyozalisha sisi,"
alisema.
Bw. Temba alisema kuwa biashara za kahawa kitengo cha kukaanga
kahawa pamoja na mgahawa wa kahawa zinaendelea vizuri na kwamba chama hicho
kikuu kinatarajia kufungua mgahawa mwingine Jijini Dar es Salaam, mwezi Agosti,
mwaka huu, ikiwa ni sehemu ya uhamasishaji unywaji wa kahawa ndani ya nchi
No comments:
Post a Comment