19 July 2013

iLULU SACCOS LINDI YAPOTEZA WANACHAMA 47


Chama CHA Akiba na Mikopo cha Ilulu(Ilulu Saccos) kilichopo katika Ha lmashauriy aManispaa yaLin di,kimepotez aw anachamawake47 katiya 541 kutokana nasabab um bal imbaliikiwemoya kufilisikamitaji katika mwakauliopita, a naripoti SaidHauni, Lindi. Hayo yameelezwa jana namwen yekiti waChamahicho, Ah amadiNamwadila nga, alip okuwaakizun gumzanagaz etihiliofis ini kwakekuhusi ana nama ende leoyachama hicho.
Mwanadi lang aalis ema wanachamahaow akiwemowa nawake(12), wanaume(34) nakikundi kimoja,wameon dokakwenye Chamah ichokipin di cha kuanziaJulai 201 2hadi Mei,mwakahuu. Alifa fa nuakwakusemawanac hama38kiki wemo kikundi kim ojawam ejiondoa k utoka nanakuko mauanachamaikiwani pamojanakufilisika mitaji ,watano kuhama na kwendak uishimaeneomengine, wanne kufa rik i dunia.Alisema pamojanakupote za wanachama hao, piaChamahichokimewezakupokea wanac hama wapyawapa tao 47waki wem owanaum e 30naw ana wake17na kuzibwakwape ngola walioondoka wakiwem o n awal ewaliopotezamaisha. P ia ali semakutokan ana kujiungakwawan achamah aokumeki fan yaChama hich ochakuwekanakuk opa chaI luluSa ccos kuwana juml ayaw anac hamawotekufik ia541k at iyaowana ume 302wa naw ake 225 huku vikundi viki wa14.Aidha, Mwanadilanga alisema katika kuhakikisha Chama kinakuwa na uwezo wa kujiendesha wanachama kupitia mkutano wake mkuu, kimepatiwa ridhaa ya kuongeza ada ya viingilio kwa wanachama kutoka sh. 10,000 hadi sh. 15,000. Pia amesema kwa mwaka 2013/2014, chama kimeandaa bajeti ya makisio ya mapato ya sh. 154,045,000 huku matumizi yakiwa ni sh.113,410,100 na kupitishwa na wanachama wake.

No comments:

Post a Comment