12 July 2013

HATARIMkazi wa jijini Dar es Salaam, ambaye hakufahamika jina kama alivyokutwa katika mtaa wa Msimbazi
Kariakoo jana akiwa amedandia gari lenye namba T502 AJB ambapo ni hatari kwa usalama wake.

No comments:

Post a Comment