KAMPUNIyasim
u zamkon oni ya A irtel imewazaw ad iawas hindi14wakilasikuwa promos heni
yaAirt el Y atoshaShin daN yumbakilamm ojash.milioni mojape
sataslimukupitiahudu mayaAirtel Mone y,an aripoti Mwand ishiWet u
.Wa shindi haow al ipa
tikana ku pitia drooya wikiya kwanza nayawikiy apilia mba pojumlayawash indi
14kutokak ati kamikoa mbalim ba li yanchiwal ipatikan anaha
timayekukabidhiwapes azao .Akizungum zaj anawakati wa
kukabidhi zaw adikw awashi ndihao, MenejaMauzowaKan dam koaniAru sha.Stephen
Akyoo alisema wanafurahikupatawashindi h aokupitiapromosheni ya Airt el
yatoshana kuwakabidhizawadi zao.
“Washindi hawa wamepatikana
kutoka katikam ikoamb alimbal i naku jishin diakila mmoja shilin gimilionimo
japesatasl imukwakutu mia huduma z a Airt el Yatoshanakujiu
nganavifurushivyetumbalimba l i,” alisema.Naye Meneja Uhusiano wa Airtel, Jackson Mmbando
akitangaza majina ya washindi hao alisema;
“Washindi wetu wa wiki ya kwanza na
ya pili ni pamoja na Hawa Said mkazi wa Mtwara, John Masawe mkazi wa singida,
Joseph Emmanuel Nchimbi wa Songea, Rosemary Michael na John Masanja kutoka
Tabora , Zuhura Sabuni kutoka Lindi, Balistus Mambo kutoka Moshi, Robert
Faustine kutoka Arusha , Frank Ladislaus na Paulina
Michael kutoka Sengerema Mwanza, Flavian Adamson
Malilo kutoka Katavi, Jacob Muhole kutoka Dodoma, Singodi Severin kutoka Kagera
na Ephrasia Thadeo kutoka Ngara.“Ili
kushiriki mteja anatakiwa kupiga *149*99# na kununua kifurushi cha huduma ya
Airtel Yatosha cha siku, wiki au mwezi na kuunganishwa moja kwa moja kushiriki
kwenye promosheni na kupata nafasi ya kushinda nyumba au pesa taslimu shilingi
milioni moja kila siku,” alisema.
No comments:
Post a Comment