24 May 2013

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki ya Posta, Prof. Lehice Rutashobya  (katikati) akiteta jambo na Ofisa Mtendaji Mkuu wa benki hiyo, Bw. Sabasaba Moshingi (kushoto) pamoja na Mkurugenzi wa Shirika la Posta, Bw. Hamisi Mndeme, baada ya kumalizika mkutano wa mwaka wa wanahisa wa benki hiyo Dar es Salaam jana. Picha na Prona Mumwi

No comments:

Post a Comment