24 May 2013


Askari Polisi akimdhibiti kijana ambaye hakufahamika jina (wa tatu kulia)kwa kutuhumiwa kuiba kompyuta ya kubebe 'laptop' na  hela ndani ya gari lililokuwa limeegeshwa katika eneo la Hospitali ya Mwananyamala, Dar es Salaam juzi. Picha na Peter Twite

No comments:

Post a Comment