Mratibu wa Chama cha Watabibu wa Tiba Asili Tanzania (ATME), Bw. Bonaventura Mwalongo (kushoto) akionesha kwa waandishi wa habari (hawapo pichani), Magomeni Kagera Dar es Salaam jana, dawa yaasili inayotibu ugonjwa wa ini kwa siku 21. Kulia ni mtaalam na mtengenezaji wa dawa asili nchini,Bw.Abba Ahmed Faqi. Picha na Charles Lucas |
No comments:
Post a Comment