11 March 2013

UZINDUZIBalozi Khamisi Kagasheki akikata utepe kwenye kasha la kuhifadhia fedha ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa Kikundi cha Habari Group uliofanyika mwishoni mwa wiki Jijini Dar es Salaam, Kushoto ni mlezi wa Kikundi hicho Bi. Angela Kairuki ambaye ni Naibu Waziri wa Sheria na Katiba, wa pili kushoto ni Mbunge wa Busega Bw. Titus Kamani (Picha na Gladness Theonest).

No comments:

Post a Comment