11 March 2013

TURUBAI


Mfanyabiashara ambaye hakufahamika jina akifunga kamba katika nguzo ya Umeme kwa ajili ya kuweka turubai, kuzuia biashara yake kunyeshewa na mvua kama alivyokutwa mtaa wa Kongo Dar es Salaam jana.(Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment