13 March 2013

TCRA


Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Profesa John Nkoma, akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya warsha ya wahariri na waandishi Dar es Salaam jana, iliyohusu mionzi inayotumika katika vyombo vya mawasiliano zikiwamo simu za mikononi ambapo alikanusha kuwa mionzi hiyo haina athari kwa watumiaji. (Picha na Prona Mumwi)

1 comment:

  1. TANGU LINI ULIWAHI KUSIKIA WATAALAMU WETU WAKAGUNDUA MADHARA?,KILA SIKU UTASIKIA TUMEGUNDUA HAKUNA MADHARA YOYOTE BAADA YA MUDA SIMREFU TUTASIKIA KWAMBA KUNA MADHARA.
    KWANZA TRCA WAMEINGIZA WATANZANIA KWENYE UJUMA KUBWA YA KUWALAZIMISHA KUTUMIA VING'AMUZI AMBAVYO HAWAJAVIFANYIA UTAFITI WA KUTOSHA HAVINA UBORA KABISA ILA TU KWA SABABU NI BIASHARA YA WAKUBWA KAMA ZILIVYOKUWA SPEED GOVERNOR WAMEKUBALI

    ReplyDelete