Katibu Mkuu wa Taasisi ya Kisilamu Shekhe Issa Ponda akiwa chini ya ulinzi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam jana,wakati akirudishwa mahabusu baada mahakama hiyo kushindwa kutoa maamuzi hadi Jumatano wiki hii wakati washitakiwa watano wa kesi hiyo watakapojitetea upya.(Picha na Heri Shaaban)
AMESHINDWA KUSOMA AYA MOJA MAJINI YAKAMFUNIKA ASKARI WASIMWONE AU TU ASOME AYA MILANGO YA GEREZA IFUNGUKE ATOKE AU HANA UDHU
ReplyDeleteKAULI YAKO INALENGA UCHOCHEZI
ReplyDelete