05 March 2013

MSAADA

Wasamaria wakisaidia kulinasua gari la polisi lenye namba PT 1448,  Dar es Salaam jana, lililotumbukia katika mtaro uliofunikwa kwa maji ya mvua zilizoendelea kunyesha jijini, kamaabara ya Msimbazi eneo la KAMATA. Elimu ya Ulinzi Shirikishi Polisi Jamii imesaidia kuleta mahusiano mazuri kati ya jeshi hilo na wananchi. (Picha na Prona Mumwi)

2 comments:

  1. Yah ni muhimu sana wananchi wakatambua kwamba jeshi la polisi ni lao na polisi pia kutambua kwamba jeshi la polisi ni la wananchi sio la jeshi la polisi.Hii pia inaweza kuondoa migogoro baina ya wananchi na jeshi hilo.

    ReplyDelete
  2. JESHI LA POLISI LINAONEKANA MUHIMU PALE WANANCHI WAKIHITAJI MSAADA WAKATI WA MAAFA WAKATI WA RAHA HAWAONEKANI MUHIMU ILA KWA WACHACHE

    ReplyDelete