18 March 2013

MAKAZI


Mkazi wa Bonde la Jangwani, Dar es Salaam, ambaye hakufamika jina lake akiwa amelala nje ya nyumba yake kama alivyokutwa jana.  Pamoja na Serikali kutoa amri ya kuwataka waondoke eneo hilo ambalo ni hatarishi kwa maisha yao na mali zao, bado wameendelea kukaidi. Picha na Peter Twite)

No comments:

Post a Comment