13 March 2013

BANGI


Askari wa Kikosi cha Kutuliza Ghasia (FFU), Mkaguzi Uforo (kulia), akiangalia shamba la bangi, wakati wa msako uliofanyika kwenye Kijiji cha Kwenkeyu Kata ya Kizara wilayani Korogwe mkoani Tanga hivi karibuni. (Picha na Mashaka Mhando)

No comments:

Post a Comment