11 March 2013

ABIRIA


Abiria wanaosafiri wa treni na kutoka Stesheni Kuu ya  Dar es Salaam kwenda Ubungo wakisukumana kugombea kuingia saa za ajioni ambako abiria huongezeka baada ya kutoka kazini kama inavyonekana mwishoni mwa wiki katika Kituo cha Kamata Dar es Salaam mwishoni mwa wiki (Picha na Peter Mwenda)

1 comment:

  1. Hili siliiti tatizo bali changamoto, hebu fikiria kama una bibi kikongwe anayengojea usafiri huo! atayaweza hayo ya kusukumana?
    Hapo waziri ndipo anaposhindwa. siti ya wanne wanakaa watano, kubanana, kusukumana ili wezi watuchomolee.
    Tanzania mabadiliko yanawezekana ila tunatakiwa tubadili mfumo mzima wa uongozi toka juu. tunaweza kuwa na tren ya umeme na kuwa na usafiri wa kistarabu kabisa. jamani aibu hii, tubadilike sisi sio kuku.inanikera!

    ReplyDelete