19 February 2013

VYOO


Vyoo vya wasafiri vilivyopo eneo la Mizani Kibaha Maili Moja Chalinze, mkoani Pwani, vikiwa katika hali mbaya kutokana na kukosa matunzo. Baadhi ya abiria wamekuwa wakilalamikia hali hiyo inayoweza kuhatarisha afya zao. Pia wanadai kutokuwepo kwa maandalizi ya uhakika kabla ya mpango maalumu wa kuchimba dawa porini kusitishwa. (Na Mpiga Picha Wetu)

No comments:

Post a Comment