26 February 2013

MSAKO


Mafundi wa Umeme na miundombinu ya nishati hiyo kutoka Wizara ya Nishati na Madini na Shirika la Ugavi wa Umeme Tanzania (TANESCO) wakishirikiana kubeba ngazi wakati wa operesheni ya kuwasaka wateja wanaojipatia huduma kwa wizi eneo la Sinza wilayani Kinondoni, Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. (Picha na Charles Lucas) 

No comments:

Post a Comment