15 February 2013

MRADI WA MAJI


Mwenyekiti wa Kampuni ya Poly-Glu Social Business, Mhandisi Kanetoshi Oda, akionesha mfumo wa kuchuja udongo katika maji kuondoa uchafu, wakati wa utambulisho wa mfumo huo, Dar es Salaam jana. Kampuni hiyo imetengeneza vyanzo vya maji kwa nchi 20 mbalimbali duniani ambapo watu zaidi ya 8000 watapata ajira kupitia miradi hiyo. Kushoto Mkuu wa Mkoa wa Kagera Bw. Fabian Massawe. (Picha na Asia Mbwana)

No comments:

Post a Comment