18 February 2013

Mkutano

Sehemu ya umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), wakiwasikiliza viongozi wa chama hicho (hawapo pichani),katika mkutano wa hadhara uliofanyika Viwanja vya temeke mwisho,Dar es salaam.picha na charles Lucas

No comments:

Post a Comment