21 February 2013

MITAALA


Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Bw. James Mbatia ambaye pia ni Mbunge wa Kuteuliwa,  akiwaonesha waandishi wa habari (hawapo pichani), Dar es Salaam juzi, baadhi ya vitabu vya mitaala batili iliyochangia kufelisha wanafunzi wa Kidato cha Nne, Kushoto ni Mkuu wa Idara ya Kampeni na Uchaguzi wa chama hicho, Bw. Faustine Sungura. (Picha na Heri Shaaban)

3 comments:

  1. NINA MASHAKA NA MADAI YA BWANA JAMES MBATIA KUHUSU MTAALA KUATHIRI BAADHI YA SHULE NA ZINGINE ZIKIFANYA VIZURI TAARIFA YA WAZIRI IMEZIANISHA ZILIZOFANNYA VIZURI NI;01.ST.FRANCIS-MBEYA;02.MARIAN BOYS-PWANI 03.FEZA BOYS-DSM 04.MARIAN GIRLS-PWANI 05.ROSMIN -TANGA 06.CANOSSA-DSM 07.JUDE MOSHONO-ARUSHA 08.ST.MARYS MAZINDE JUU -TANGA 09.ANWARITE GIRLS -KILIMANJARO 10.KIFUNGIRO GIRLS -TANGA 11. FEZA GIRLS -DSM 12.KANDOTO SAYANSI -KILIMANJARO 13; DON BOSCO SEMINARY -IRINGA 14.ST.JOSEPH MILLENIUM -DSM 15.ST. JOSEPH INTERA MBOGO -KIGOMA 16.ST. JAMES SEMINARY -KILIMANJARO 17. MZUMBE S.-MOROGORO 18. KIBAHA -PWANI 19. NYEGEZI SEMINARY 20. TENGERU BOYS -ARUSHA INASHANGAZA HAWA WAMESHINDWA KUONA UBAYA WA MTAALA WAO HATA WAALIMU HAWAKUGOMA ILA MTAALA UMEKUWA MGUMU SANA KWA SHULE HIZI 012 MIBUYUNI -LINDI 02.NDAME -UNGUJA 03. MAMNDIMKONGO -PWANI 04. CHITEKETE -MTWARA 05. MAENDELEO -DSM 06. KWAMNDOLWA -TANGA 07. UNGULU -MOROGORO 08. KIKALE -PWANI 09.NKUMBA S.- TANGA 10. TONGONI S.- TANGA HAWA NDIO MAZUZU WA MTAALA AU NDIO VINARA WA MGOMO WALIOKUWA WANAFUNDISHA WANAFUNZI 1+3=13 ; 73 -3 =7 ; 3 *3=333 NA KWAMBA KITAELEWEKA TU MKITULAZIMISHA KUINGIA DARASANI ITAKUWA HIVYO **** NA ALAANIWE MWALIMU WA AINA HIYO NI AFADHALI MUNGU ANGEMFANYA TASA AU MGUMBA WANGEKUWA WANAWE ASINGEFANYA UJAMBAZI NA UGAIDI WA AINA HIYO .NA ASHINDWE ALEGEE MWANAMKE ONYOOOOOOOO

    ReplyDelete
  2. ndio hapo mtakapoona umuhimu wa walimu shuleni tena msiongee kabisa maana fedha nyingi zinapotea kwenye upuuzi km kuleta ma kocha wa mpira na vinginevyo km kuandaa semina kwa ma milion ya pesa hatujali vitu vya muhimu yaan nilikuwa naomba mungu wa feli wote ndo iwe fundisho kwa tanzania aka Tanza giza na ni giza haswa.

    ReplyDelete
  3. lipenimadeni ya walimuna kuboresha maslahi!

    ReplyDelete