21 February 2013

BIASHARA


Wafanyabiashara ndogondogo wa Soko la Kariakoo, wakiuza bidhaa zao nje ya soko hilo, Dar es Salaam jana. Wafanyabiashara hao hukosa mikopo katika taasisi za fedha kutokana na biashara zakufanyia katika sehemu zisizo rasmi. (Picha na Prona Mumwi)
 

No comments:

Post a Comment