28 January 2013

VIFAA


Meneja wa Bia ya Kilimanjaro Premium Lager, wadhamini wa wakuu wa Simba akimkabidhi Msemaji wa klabu hiyo, Ezekiel Kamwaga vifaa vya michezo kwa ajili ya mzunguko wa pili ya Ligi Kuu inayoanza kesho. Picha kwa hisani ya Executive Solutions

No comments:

Post a Comment