Kijana Eliabu Amon (kushoto) mkazi wa Kigogo, ambaye ni mchuuzi wa viazi mwenye jiko katika mkokoteni, akichochea moto kuivisha viazi hivyo, kama alivyokutwa makutano ya Mitaa ya Sikukuu na Agrey Kariakoo mwishoni mwa wiki. Kijana huyo anasema viazi hivyo vinavyolimwa kwa wingi Gezaulole Kigamboni Dar es Salaam, vimekuwa tegemeo kama sehemu ya mlo kamili kwa baadhi ya wakazi wa jiji wenye kipato kidogo kutokana na bei kubwa vya vyakula vingine madukani na katika migahawa. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment