14 January 2013

USAFI


Mbunge wa Temeke, DAR ES Salaam, Bw. Abbas Mtemvu (aliyeinama kushoto), akifanya usafi katika mfereji na wanachama wa Kikundi wa Makangarawe Environmental Group, katika uzinduzi wa kampeni ya mazingira kwenye kata hiyo juzi. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment