03 January 2013

UKAGUZI


Ofisa wa polisi wa usalama barabarani, akikagua nyaraka za gari namba T 188 ASL, Toyota Mark II, eneo la Shule ya Uhuru Kariakoo, Dar es Salaam jana. Ukaguzi wa magari unalenga kuwabaini na kuwachukulia hatua madereva wanaokiuka sheria. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment