28 January 2013

UBANI


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Dkt.Ali Mohamed Shein,akitia ubani kama ishara ya ufunguzi wa Maulid ya Kuzaliwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyosomwa juzi katika Viwanja vya Maisara Mjini Zanzibar,ambapo kila mwaka hufanyika Maulid kama hayo na kuhudhuriwa na maelfu ya Waumini wa Dini ya Kiislamu. (Picha na Ramadhan Othman,Ikulu)

No comments:

Post a Comment