28 January 2013

SHANGWE

Mshambuliaji wa Yanga, Jerry Tegete akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la kwanza katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, dhidi ya Prisons ya Mbeya, mechi ilipigwa Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jana.Yanga ilishinda 3-1.Picha kwa hisani ya bongostaz.blogspot

No comments:

Post a Comment