03 January 2013

SHAHIDI


Wasamaria wakimsaidia mmoja wa mashahidi    Bw. Richard Edward (22) Mkazi wa Tandale baada kuanguka ndani ya chumba cha Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu  Dar es Salaam jana, wakati alipokuwa akitoa ushaidi wa kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha. (Picha na Heri Shaaban)

No comments:

Post a Comment