28 January 2013

MAPAMBANO


Askari Polisi akimdhibiti mgambo wa jiji, katika vurugu baina ya Polisi na mgambo, katika eneo la Shule ya Uhuru,Kariakoo Dar es Salaam jana. Vurugu hizo zilisababisha mgambo wawili kujeruhiwa vibaya.(Picha na Peter Twite)

No comments:

Post a Comment