16 January 2013

MANUNUZI


Mwenyekiti Mtendaji wa Taasisi ya Ununuzi na Ugavi (IPS), Dkt. Didas Massaburi, akitoa mada wakati wa warsha ya Wabunge iliyohusu uwawezeshaji wa kujua taratibu za manunuzi katika taasisi za umma iliyofanyika, Dar es Salaam jana. (Picha na PeterTwite)

No comments:

Post a Comment