15 January 2013

MAANDAMANO


Mamia ya Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) na Chuo cha Mwalimu Nyerere Kivukoni wakiwa katika Kivuko cha Mv Kigamboni, kabla ya kuandamana jijini jana. Wanachuo hao waliandamana kupinga vitendo vya unyanyasaji wa aina mbalimbali ukiwamo wizi unaofanyika vyuoni. (Picha na Heri Shaaban)

1 comment:

  1. KWANINI WASIJILINDE WENYEWE HAYA NDIO MAPUNGUFU YA SHULE ZA KIBINFSI MAARUFU [ENGLISH MEDIUM]WANALELWA KAMA MAYAI WALIOPITIA JKT MADAI HAYO NI YA KIPUUZI KABISA SERIKALI IRUDISHE MAFUNZO YA JKT ILI KUONDOA KUKU WA MAYAI KULA KULALA

    ReplyDelete