28 January 2013

KARIBISHWA


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, na Mwenyekiti wa Chama cha wananchi (CUF) Prof. Ibrahim Lipumba, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam jana usiku kwa ajili ya  mkesha wa sherehe za Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W). Picha na Muhidin Sufiani-OMR

No comments:

Post a Comment