Baadhi ya vijana ambao hujishughulisha na uuzaji wa karanga na mayai kando ya Barabara ya Azikiwe, Posta (ambao walikataa kutaja majina yao), wakisubiri wateka, kama walivyokutwa Dar es Salaam jana. Uuzaji wa biashara hizo katika eneo hilo ni ukiukaji wa kanuni na sheria za jiji. (Picha na Charles Lucas)
No comments:
Post a Comment