03 January 2013

HATARI AKIBA


Wakazi wa jiji wakipita kando ya mtu (kushoto) ambaye hakufahamika jina aliyelala kando ya Barabara ya Bibi Titi Mohamed, Dar es Salaam jana. Kitendo hicho kinaweza kuhatarisha usalama wake, hata hivyo haikufahamika tatizo lililomsibu. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment