13 December 2012

WANAZUONI


1 comment:

  1. NI VEMA WAJADILI YALE HAYATI NYERERE ALIYOPIGANA SINA UHAKIKA ANGEKUWA HAI ANGENYAMAZA KIMYA IRAQ,NA LIBYA ZIKIVAMIWA NA MARIKANI,ALIKUWA NA KAULI ZA KUREKEBISHA KAULI ZA UPOTOSHAJI ZA KIMATAIFA MFANO ALIBADILISHA KAULI YA MATAIFA MANDELA ALIPOTOLEWA JELA KUWA MANDELA YUKO HURU AKAIREKEBISHA KAULI AKISEMA MANDELA AMETOKA GEREZANI TU LAKINI HAYUKO HURU MPAKA AFRIKA KUSINI ITAKAPOKUWA HURU.NYERERE ALIPIGANIA KUUNDWA TUME YA NCHI ZA KUSINI [SOUTH SOUTH COMMISSION],ALIDAI KUUNDWA MFUMO MPYA WA UCHUMI WA KIMATAIFA[NEW INTERNATIONL ECONOMIC ORDER] KAMA HAWAJADILI HAYO SIJUI WATAJADILI NINI????????

    ReplyDelete