Baadhi ya wafanyabiashara ndogondogo (machinga) wamebuni mkakati mpya wa kuuza bidhaa zao katika magari kama walivyokutwa na mpiga picha wetu Dar es salaam jana. Pamoja na Serikali kupiga marufuku kufanyabiashara katika eneo hilo.(Picha na Peter Twite)
No comments:
Post a Comment