28 December 2012

USAFIRI


Mwendesha pikipiki ya gurudumu tatu (kushoto) ambaye hukutaja jina akifunga mzigo kwenye chombo hicho, kama alivyokutwa makutano ya Barabara ya Lugoda na Nyerere Gerezani, Dar es Salaam jana. Kulia ni abiria alikodi usafiri huo akiwa hana kofia ngumu (helmet) inayoweza kumkinga na madhara ikitokea ajali. (Picha na Charles Lucas)

No comments:

Post a Comment