mawasiliano
Makala
Uchumi na Biashara
Michezo na Burudani
Habari Mikoani
Mwanzo
13 December 2012
UFUNGUZI
Rais Jakaya Kikwete akimpokea mtoto Mwamvua Omari (1) wakati wa ufunguzi wa Hospitali ya Mnazi Mmoja, Dar es Salaam jana. Mtoto huyo ni wa kwanza kuzaliwa kwenye hospitali hiyo, iliyojengwa kwa msaada wa Serikali ya Korea Kusini. Anayemkabidhi ni mama wa mtoto huyo, Bi. Salima Salum. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Ilala, Dkt. Aisha Mahita na Mkuu wa Mkoa huo. Bw. Said Meck Sadik. (Picha na Heri Shaaban)
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment