04 December 2012

MATUNDA


Mfanyabiashara ya matunda Bw. Peter Yohana akiandaa mananasi kwa ajili ya kuuza kama alivyokutwa katika mtaa wa msimbazi Dar es Salaam jana, kipande kimoja huuzwa kati ya sh.200 hadi 500. (Picha na Peter Twite)
  

No comments:

Post a Comment