13 December 2012

MAJADILIANO


Katibu Mtendaji wa Chama cha Wafanyabiashara Waasia Tanzania (TADA), BW. Dinesh Vaishnav  akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA), BW. Simon Sayore (kushoto)  mara baada ya ufunguzi wa mkutano, Dar es Salaam jana wa Taftishi wa kuchangia maoni kuhusu maombi ya bei mpya ya umeme. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka hiyo, Bw. Haruna Masebu, (Picha na Charles Lucas) 

No comments:

Post a Comment