17 December 2012

HATARI


Mkazi wa jiji akiwa amekaa juu ya gunia lenye mzigo katika  baiskeli ya miguu mitatu (Guta), kama alivyokutwa na mpiga picha wetu Mtaa wa  Lindi ,  ikiwa ni hatari kwa usalama wake . Dar es Salaam jana(Picha na Anna Titus)

No comments:

Post a Comment