03 December 2012

BIASHARA

Mchuuzi wa matunda Bi. Asha Iddi akivuka barabara kuelekea soko kuu la karikoo kwa ajili ya kuuza matunda. Ambapo kila moja huuza kwa sh. 500 hadi 1000, kama alivyokutwa na mpiga picha wetu barabara ya Uhuru Dar es salaam jana. (Picha na Peter Twite)


No comments:

Post a Comment