MAJIRA - GAZETI HURU LA KILA SIKU:

mawasiliano

  • Makala
  • Uchumi na Biashara
  • Michezo na Burudani
  • Habari Mikoani
  • Mwanzo

19 November 2012

MGOMO



Baadhi ya abiria waliokuwa wakisafiri kwenda Zambia na mikoa ya Tanzania wakiwa katika foleni ya kurudishiwa fedha za nauli, baada ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Reli ya Tanzania na Zambia (TAZARA), kugoma Stesheni ya Dar es Salaam jana. Wafanyakazi hao wanagoma kushinikiza mamlaka hiyo kuwalipa stahili mbalimbali ikiwamo mishahara. (Picha na Prona Mumwi)

No comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments (Atom)

Archive

Zilizopendwa

  • HOFU YA VYETI FEKI SERIKALINI
    WATUMISHI WOTE SASA KUHAKIKIWA VYETI VYAO ASKARI WALIOVITUMIA KUPANDA VYEO KUKIONA   Na Heri Shaaban Wizara ya Ulinzi na Jeshi ...
  • Mbunge wa zamani kuibuka kidedea NEC
    Na Faida Muyomba, Geita MBUNGE wa zamani wa jimbo la Nyang'hwale  mkoani Geita,Bw. James Msalika,ameibuka kidedea  katika nafasi ya ujum...
  • MPASUKO ZAIDI CHADEMA
    M/KITI SINGIDA AJIUZULU, ASEMA HAKUNA DEMOKRASIA Damiano Mkumbo na Darlin Said Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia ...
  • Lipumba awavaa viongozi CHADEMA
    Na Benedict Kaguo, Pangani MWENYEKITI wa Taifa wa Chama cha Wananchi CUF Profesa Ibrahim Lipumba amesema Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
  • LOWASSA ‘AFUNGUKA’ KWA WAUMINI
    Waziri Mkuu aliyejiuzulu, Bw. Edward Lowassa (mwenye suti),akiwaaga waumini wa Kanisa la Anglikana, Dayosisi ya Mtandi,Wilaya ya Mas...

TAFUTA HABARI

Google
Custom Search

PATA HABARI


Majira
Business Times
Spoti Starehe

mawasiliano

mhariri mtendaji - 0773138085
mhariri wa habari - 0774442490

Dawati la makala
mhariri michezo - 0774442860
matangazo - 0774443110
usambazaji - 0774441131
Picture Window theme. Powered by Blogger.

Visitors - Start from November 9, 2011

Majira counter