30 November 2012

MATUNDA


Mfanyabiashara wa matunda akiwauzia wateja bidhaa hiyo katika eneo la Mnazi Mmoja Dar es Salaam jana. Ufungaji wa matunda yaliyomenywa katika pakiti uboresha huduma hiyo. (Picha na Heri Shaaban)

1 comment:

  1. Kwa muonekano wameboresha, la kujiuliza mazingira ya uandaaji yameboreshwa? au kukaribisha homa za matumbo na kipindupindu! Wasimamizi wa afya, chakula wanaliona hilo, Kanuni zao na taratibu zinasemaje? Bwana Afya na Mamlaka husika tupewe majibu

    ReplyDelete