30 November 2012

KATAZO



Pamoja na kuwapo kwa alama za usalama barabarani (kulia juu) inayokataza kuegeshwa kwa vyombo vya moto kando ya Barabara ya Bagamoyo eneo la Sayansi, Kijitonyama Dar es Salaam, baadhi ya waendesha bajaj wanapuuza agizo hilo kwa kuegesha katika eneo hilo, Kama walivyokutwa jana (Picha na Charles Lucas)

1 comment:

  1. mwandishi hapo yamekatazwa maroli sio bajaji. ndo mana hao wa bajaji wamepaki hapo.wako sahihi sana.au wewe huoni hiyo alama inakataza aina gani ya magari?tia akili mtaani wanaojua kusoma alama na kuzitafsiri wako wengi hivyo unapoona sheria imevunjwa sio kwa bahati mbaya ila ni sababu ya ulegelege wa sheria yenyewe kuanzia kwenye katazo hadi usimamizi.

    ReplyDelete